Exodus 21:13
Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika.
14Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua.
Cross References
Numbers 35:10“Sema na Waisraeli, uwaambie: ‘Mtakapovuka Yordani kuingia Kanaani,
Deuteronomy 4:41Kisha Mose akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani,
Deuteronomy 19:2ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa kuimiliki.
Deuteronomy 19:14Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi Bwana Mungu wako anayowapa kuimiliki. 1 Mashahidi
Joshua 20:2“Waambie Waisraeli, watenge miji mikubwa ya kukimbilia, kama nilivyokuagiza kupitia Mose,
1 Samuel 24:10Leo umeona kwa macho yako mwenyewe jinsi Bwana alivyokutia mikononi mwangu huko pangoni. Watu wengine walisisitiza nikuue, lakini nilikuacha, nikisema, ‘Sitainua mkono wangu dhidi ya bwana wangu, kwa sababu yeye ni mpakwa mafuta wa Bwana.’