Proverbs 23:10
Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani 2 wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Remove not the old landmark; and enter not into the fields of the fatherless:
In Context
9Usizungumze na mpumbavu, 2 kwa maana atadhihaki hekima ya maneno yako. 1
11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu, 2 atalichukua shauri lao dhidi yako. 1
Cross References
Deuteronomy 27:17“Alaaniwe mtu asogezaye jiwe la mpaka wa jirani yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Job 22:9Umewafukuza wajane mikono mitupu 2 na kuzivunja nguvu za yatima. 1
Job 24:9Mtoto yatima hupokonywa matitini; 2 mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni. 1
Psalms 94:6Wanamchinja mjane na mgeni, 2 na kuwaua yatima. 1
Jeremiah 7:5Kama kweli mkibadili njia zenu na matendo yenu, mkatendeana haki kila mmoja na mwenzake,
Jeremiah 22:3Hili ndilo Bwana asemalo: Tenda haki na adili. Mwokoe mkononi mwa mdhalimu yeye aliyetekwa nyara. Usimtendee mabaya wala ukatili mgeni, yatima au mjane, wala usimwage damu isiyo na hatia mahali hapa.