bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 22 › Kumbukumbu 22:7
Kumbukumbu 22:7
Waweza kuchukua makinda, lakini uwe na hakika ya kumwacha huyo ndege, ili upate kufanikiwa na uweze kuishi maisha marefu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But thou shalt in any wise let the dam go, and take the young to thee; that it may be well with thee, and that thou mayest prolong thy days.
In Context
6Kama ukikuta kiota cha ndege kando ya barabara, iwe juu ya mti au chini, naye ndege amelala juu ya makinda au mayai, usimchukue huyo ndege pamoja na makinda yake.
8Wakati unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa yeyote ataanguka kutoka humo.
Read all of Kumbukumbu 22
Cross References
Leviticus 22:28Usimchinje ngʼombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.
Proverbs 22:4Unyenyekevu na kumcha Bwana 2 huleta utajiri, heshima na uzima. 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 22:7