The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 22 › Kumbukumbu 22:8

Kumbukumbu 22:8

Wakati unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa yeyote ataanguka kutoka humo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When thou buildest a new house, then thou shalt make a battlement for thy roof, that thou bring not blood upon thine house, if any man fall from thence.

In Context

7Waweza kuchukua makinda, lakini uwe na hakika ya kumwacha huyo ndege, ili upate kufanikiwa na uweze kuishi maisha marefu.

9Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia.

Read all of Kumbukumbu 22

Cross References

Exodus 22:6“Kama moto ukiwaka na kuenea kwenye vichaka vya miiba na kuteketeza miganda ya nafaka au nafaka ambayo haijavunwa, au kuteketeza shamba lote, mtu yule aliyewasha moto lazima alipe.

Isaiah 22:1Neno kuhusu Bonde la Maono: 1 Nini kinachokutaabisha sasa, 2 kwamba ninyi nyote mmepanda juu ya mapaa? 1

Ezekiel 3:18Nimwambiapo mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ na wewe usipomwonya mtu huyo au kumshauri aache njia zake mbaya ili kuokoa maisha yake, huyo mtu mwovu atakufa katika dhambi yake na damu yake nitaidai mkononi mwako.

Ezekiel 32:2“Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Farao mfalme wa Misri na umwambie: 1 “ ‘Wewe ni kama simba miongoni mwa mataifa, 2 wewe ni kama joka kubwa baharini, 1 unayevuruga maji kwa miguu yako 2 na kuchafua vijito.

Matthew 18:6Lakini kama mtu yeyote akimsababisha mmojawapo wa hawa wadogo wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa katika kilindi cha bahari. 1 Kujaribiwa Ili Kutenda Dhambi (Marko 9:42-48; Luka 17:1-2)

Acts 10:9Siku ya pili yake, walipokuwa wameukaribia mji, wakati wa adhuhuri, Petro alipanda juu ya nyumba kuomba.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 22:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 22:7Kumbukumbu 22Kumbukumbu 22:9 →