The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 23 › Kumbukumbu 23:1

Kumbukumbu 23:1

Asiingie mtu yeyote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that is wounded in the stones, or hath his privy member cut off, shall not enter into the congregation of the LORD.

In Context

2Mtu yeyote ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la Bwana, hata mpaka kizazi cha kumi.

Read all of Kumbukumbu 23

Cross References

Leviticus 18:8“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako.

Leviticus 22:22Kamwe usimtolee Bwana mnyama aliye kipofu, aliyejeruhiwa wala aliye kilema, au chochote kilicho na uvimbe, au chenye upele au vidonda vinavyotoka usaha. Kamwe chochote cha aina hii kisiwekwe juu ya madhabahu kuwa sadaka iliyotolewa kwa Bwana ya kuteketezwa kwa moto.

Deuteronomy 23:2Mtu yeyote ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la Bwana, hata mpaka kizazi cha kumi.

Deuteronomy 27:20“Alaaniwe mtu akutanaye kimwili na mke wa baba yake, kwa maana anadharau malazi ya baba yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Isaiah 56:3Usimwache mgeni aambatanaye na Bwana aseme, 2 “Hakika Bwana atanitenga na watu wake.” 1 Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, 2 “Mimi ni mti mkavu tu.”

Galatians 3:28Wala hakuna tena Myahudi au Myunani, mtumwa au mtu huru, mwanaume wala mwanamke, maana nyote mmekuwa wamoja ndani ya Kristo Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 23:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Kumbukumbu 23Kumbukumbu 23:2 →