Leviticus 18:8
“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The nakedness of thy father’s wife shalt thou not uncover: it is thy father’s nakedness.
In Context
Cross References
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Leviticus 20:11“ ‘Kama mtu atakutana kimwili na mke wa baba yake, hakumheshimu baba yake. Mwanaume huyo na mwanamke huyo wote wauawe; damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.
Deuteronomy 23:1Asiingie mtu yeyote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la Bwana.
2 Samuel 16:21Ahithofeli akamjibu, “Kutana kimwili na masuria wa baba yako aliowaacha kutunza jumba la kifalme. Ndipo Israeli yote itakaposikia kwamba umejifanya chukizo kwa baba yako, nayo mikono ya kila mmoja aliye pamoja nawe itatiwa nguvu.”
Amos 2:7Wanakanyaga juu ya vichwa vya maskini, 2 kama vile juu ya mavumbi ya nchi, 2 na kukataa haki kwa walioonewa. 1 Baba na mwanawe hushiriki msichana mmoja, 2 kwa hivyo hulinajisi Jina langu takatifu. 1