Kumbukumbu 23:2
Mtu yeyote ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la Bwana, hata mpaka kizazi cha kumi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 56:3Usimwache mgeni aambatanaye na Bwana aseme, 2 “Hakika Bwana atanitenga na watu wake.” 1 Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, 2 “Mimi ni mti mkavu tu.”
Zechariah 9:6Wageni watakalia mji wa Ashdodi, 2 nami nitakatilia mbali kiburi cha Wafilisti. 1
Hebrews 12:8Kama hakuna kuadibishwa (ambalo ni fungu la watoto wote), basi ninyi ni watoto wa haramu wala si watoto halali.