Zekaria 9:6
Wageni watakalia mji wa Ashdodi, 2 nami nitakatilia mbali kiburi cha Wafilisti. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And a bastard shall dwell in Ashdod, and I will cut off the pride of the Philistines.
In Context
Cross References
Ecclesiastes 6:2Mungu humpa mwanadamu utajiri, mali na heshima, hivyo hakukosa chochote moyo wake unachokitamani. Lakini Mungu hamwezeshi kuvifurahia, badala yake mgeni ndiye anayevifurahia. Hili ni ubatili, ni ubaya unaosikitisha.
Isaiah 23:9Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili, 2 ili kukishusha kiburi cha utukufu wote 1 na kuwanyenyekesha wale wote 2 ambao ni mashuhuri duniani. 1
Daniel 4:37Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, na humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu afanyacho ni haki, na njia zake zote ni adili. Nao waendao kwa kiburi anaweza kuwashusha.
Zephaniah 2:10Hiki ndicho watarudishiwa kwa ajili ya kiburi chao, 2 kwa kutukana na kudhihaki 2 watu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1