Deuteronomy 24:13
Rudisha vazi lake kabla ya machweo ya jua ili apate kulilalia. Kisha atakushukuru na kitaonekana kama kitendo cha haki mbele za Bwana Mungu wako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Ikiwa mtu huyo ni maskini, usiende kulala ukiwa na hiyo rehani yake katika milki yako.
Cross References
Exodus 22:25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.
Deuteronomy 6:25Kama tukizitii kwa bidii amri hizi zote mbele za Bwana Mungu wetu, kama alivyotuamuru sisi, hiyo itakuwa haki yetu.”
Deuteronomy 24:15Mlipe ujira wake kila siku kabla ya jua kutua, kwa sababu yeye ni maskini na anautegemea ujira huo. La sivyo, anaweza kumlilia Bwana dhidi yako, nawe ukapata hatia ya dhambi.
Job 29:11Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, 2 nao walioniona walinisifu, 1
Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1
Psalms 112:9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; 2 haki yake hudumu milele; 2 pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 1