The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 24 › Kumbukumbu 24:14

Kumbukumbu 24:14

Usimwonee mtu maskini na mhitaji ambaye umemwajiri, akiwa ni nduguyo Mwisraeli au mgeni anayeishi katika mojawapo ya miji yenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt not oppress an hired servant that is poor and needy, whether he be of thy brethren, or of thy strangers that are in thy land within thy gates:

In Context

13Rudisha vazi lake kabla ya machweo ya jua ili apate kulilalia. Kisha atakushukuru na kitaonekana kama kitendo cha haki mbele za Bwana Mungu wako.

15Mlipe ujira wake kila siku kabla ya jua kutua, kwa sababu yeye ni maskini na anautegemea ujira huo. La sivyo, anaweza kumlilia Bwana dhidi yako, nawe ukapata hatia ya dhambi.

Read all of Kumbukumbu 24

Cross References

Leviticus 25:35“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako.

Job 24:10Kwa kukosa nguo, hutembea uchi; 2 hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa. 1

Proverbs 14:31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, 2 bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 1

Ezekiel 22:7Ndani yako wamewadharau baba na mama, ndani yako wamewatendea wageni udhalimu na kuwaonea yatima na wajane.

Amos 4:1Sikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani 2 mlioko juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi wanawake mnaowaonea maskini, 2 na kuwagandamiza wahitaji, 1 na kuwaambia wanaume wenu, 2 “Tuleteeni vinywaji!” 1

Malachi 3:5“Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Kumwibia Mungu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 24:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 24:13Kumbukumbu 24Kumbukumbu 24:15 →