Deuteronomy 25:13
Usiwe na mawe ya kupimia ya aina mbili katika mkoba wako, moja zito na jingine jepesi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt not have in thy bag divers weights, a great and a small.
In Context
12huyo mwanamke utamkata mkono wake. Usimhurumie.
14Usiwe na vipimo viwili tofauti katika nyumba yako, kimoja kikubwa, kingine kidogo.
Cross References
Leviticus 19:35“ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi.
Proverbs 11:1Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, 2 bali vipimo sahihi ni furaha yake. 1
Proverbs 20:10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, 2 Bwana huchukia vyote viwili. 1
Amos 8:5mkisema, 1 “Ni lini Mwezi Mwandamo utakapopita 2 ili tupate kuuza nafaka, 1 na Sabato itakwisha lini 2 ili tuweze kuuza ngano?” 1 Mkipunguza vipimo, 2 na kuongeza bei, 2 na kudanganya kwa mizani zisizo sawa, 1