Proverbs 11:1
Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, 2 bali vipimo sahihi ni furaha yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A false balance is abomination to the LORD: but a just weight is his delight.
In Context
2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, 2 bali unyenyekevu huja na hekima. 1
Cross References
Deuteronomy 25:13Usiwe na mawe ya kupimia ya aina mbili katika mkoba wako, moja zito na jingine jepesi.
Proverbs 16:11Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana; 2 mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 1
Proverbs 20:23Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, 2 nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. 1
Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1
Amos 8:5mkisema, 1 “Ni lini Mwezi Mwandamo utakapopita 2 ili tupate kuuza nafaka, 1 na Sabato itakwisha lini 2 ili tuweze kuuza ngano?” 1 Mkipunguza vipimo, 2 na kuongeza bei, 2 na kudanganya kwa mizani zisizo sawa, 1