Walawi 19:35
“ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye shall do no unrighteousness in judgment, in meteyard, in weight, or in measure.
In Context
Cross References
Leviticus 19:15“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Deuteronomy 25:15Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.
Proverbs 11:1Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, 2 bali vipimo sahihi ni furaha yake. 1
Proverbs 20:10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, 2 Bwana huchukia vyote viwili. 1
Ezekiel 45:10Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa + 45:10 Efa ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vikavu ambacho ni sawa na omeri 10; efa 1 ni sawa na kilo 22. na bathi. + 45:10 Bathi ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vya humiminika ambacho ni sawa na 1/10 ya homeri; homeri 1 ni bathi 10 au efa 10.
Micah 6:1Sikiliza asemalo Bwana: 1 “Simama, tetea shauri lako mbele ya milima; 2 vilima na visikie lile unalotaka kusema. 1