The Bible Software
bible.software › Hosea › Hosea 5 › Hosea 5:10

Hosea 5:10

Viongozi wa Yuda ni kama wale 2 wanaosogeza mawe ya mpaka. 1 Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao 2 kama mafuriko ya maji. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The princes of Judah were like them that remove the bound: therefore I will pour out my wrath upon them like water.

In Context

9Efraimu ataachwa ukiwa 2 katika siku ya kuadhibiwa. 1 Miongoni mwa makabila ya Israeli 2 ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia. 1

11Efraimu ameonewa, 2 amekanyagwa katika hukumu 2 kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu. 1

Read all of Hosea 5

Cross References

Deuteronomy 27:17“Alaaniwe mtu asogezaye jiwe la mpaka wa jirani yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

2 Chronicles 28:16Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.

Psalms 88:17Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; 2 zimenimeza kabisa. 1

Proverbs 17:14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; 2 kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 1

Ezekiel 7:8Ninakaribia kumwaga ghadhabu yangu juu yenu na kumaliza hasira yangu dhidi yenu, nitawahukumu sawasawa na matendo yenu na kuwalipiza kwa ajili ya desturi zenu zote za machukizo.

Luke 6:49Lakini yeye anayesikia maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi bila kuweka msingi. Mafuriko yalipoikumba nyumba ile, ikaanguka mara na kubomoka kabisa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 5:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 5:9Hosea 5Hosea 5:11 →