Kumbukumbu 28:35
Bwana atayapiga magoti yako na miguu yako kwa majipu yenye maumivu makali yasiyoponyeka, yakienea kutoka nyayo za miguu yako hadi utosini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Vitu utakavyoviona kwa macho yako vitakufanya wazimu.
Cross References
Job 2:6Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake.”
Isaiah 1:6Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1
Isaiah 3:24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; 2 badala ya mishipi, ni kamba; 1 badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; 2 badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; 2 badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 1