Isaiah 1:7
Nchi yenu imekuwa ukiwa, 2 miji yenu imeteketezwa kwa moto; 1 nchi yenu imeachwa tupu na wageni 2 mbele ya macho yenu, 2 imeharibiwa kama vile imepinduliwa na wageni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:33Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na chochote, bali kuonewa kikatili siku zako zote.
Deuteronomy 28:48kwa hiyo katika njaa na kiu, katika uchi na umaskini wa kutisha, utawatumikia adui ambao Bwana atawatuma dhidi yako. Yeye ataweka nira ya chuma shingoni mwako hadi amekwisha kukuangamiza.
2 Chronicles 28:16Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.
Psalms 107:39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa 2 kwa kuonewa, maafa na huzuni. 1
Isaiah 5:9Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema nikisikia: 2 “Hakika nyumba kubwa zitakuwa ukiwa, 2 nayo majumba ya fahari yatabaki bila kukaliwa. 1
Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1