Kumbukumbu 3:11
(Mfalme Ogu wa Bashani ndiye peke yake aliyesalia miongoni mwa mabaki ya Warefai. Kitanda chake kilikuwa cha chuma chenye urefu wa dhiraa tisa + 3:11 Dhiraa tisa ni sawa na mita 4. na upana wa dhiraa nne. + 3:11 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8. Mpaka sasa kinaweza kuonekana katika mji wa Waamoni wa Raba.) 1 Mgawanyo Wa Nchi Mashariki Ya Yordani (Hesabu 32:1-42)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:5Mnamo mwaka wa kumi na nne, Mfalme Kedorlaoma na wafalme waliojiunga naye walikwenda kupigana na kuwashinda Warefai katika Ashtaroth-Kanaimu, Wazuzi katika Hamu, Waemi katika Shawe-Kiriathaimu,
Deuteronomy 2:20(Hiyo pia ilidhaniwa kuwa nchi ya Warefai waliokuwa wakiishi huko, lakini Waamoni waliwaita Wazamzumi.
1 Samuel 17:4Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja. + 17:4 Dhiraa sita na shibiri moja ni sawa na mita 3, au futi 9 na inchi 8.
2 Samuel 12:26Wakati huo Yoabu akapigana dhidi ya Raba jamii ya Waamoni na kuteka ngome la kifalme.
Ezekiel 21:20Weka alama njia moja kwa ajili ya upanga upate kuja dhidi ya Raba ya Waamoni na nyingine upate kuja dhidi ya Yuda na Yerusalemu iliyozungushiwa ngome.
Amos 2:9“Nilimwangamiza Mwamori mbele yao, 2 ingawa alikuwa mrefu kama mierezi, 2 na mwenye nguvu kama mialoni. 1 Niliyaangamiza matunda yake juu 2 na mizizi yake chini. 1