The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:11

Kumbukumbu 32:11

kama tai avurugaye kiota chake, 2 na kurukaruka juu ya makinda yake, 1 ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, 2 na huwachukua kwenye mabawa yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As an eagle stirreth up her nest, fluttereth over her young, spreadeth abroad her wings, taketh them, beareth them on her wings:

In Context

10Katika nchi ya jangwa alimkuta, 2 katika nyika tupu ivumayo upepo. 1 Alimhifadhi na kumtunza; 2 akamlinda kama mboni ya jicho lake, 1

12Bwana peke yake alimwongoza; 2 hakuwepo mungu mgeni pamoja naye. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Exodus 19:4‘Ninyi wenyewe mmeona nililofanya huko Misri, jinsi nilivyowabeba kwenye mbawa za tai na kuwaleta kwangu.

Isaiah 40:31bali wale wamtumainio Bwana 2 atafanya upya nguvu zao. 1 Watapaa juu kwa mbawa kama tai; 2 watapiga mbio wala hawatachoka, 2 watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Isaiah 63:9Katika taabu zao zote naye alitaabika, 2 na malaika wa uso wake akawaokoa. 1 Katika upendo wake na rehema zake aliwakomboa, 2 akawainua na kuwachukua siku zote zilizopita. 1

Revelation 12:4Mkia wake ukakokota theluthi ya nyota zote angani na kuziangusha katika nchi. Ndipo lile joka likasimama mbele ya yule mwanamke aliyekuwa karibu kuzaa ili lipate kumla huyo mtoto mara tu atakapozaliwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:10Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:12 →