The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:17

Kumbukumbu 32:17

Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: 2 miungu wasiyoijua, 2 miungu iliyojitokeza siku za karibuni, 2 miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They sacrificed unto devils, not to God; to gods whom they knew not, to new gods that came newly up, whom your fathers feared not.

In Context

16Wakamfanya Mungu kuwa na wivu kwa miungu yao migeni, 2 na kumkasirisha kwa sanamu zao 2 za machukizo. 1

18Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; 2 mkamsahau Mungu aliyewazaa. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Leviticus 17:7Hawatatoa kamwe dhabihu zao kwa sanamu za mbuzi ambazo wamekuwa wakijifanyia nazo ukahaba. Hili litakuwa agizo la kudumu kwao na kwa ajili ya vizazi vijavyo.’

Deuteronomy 28:64Kisha Bwana atawatawanya miongoni mwa mataifa yote, kutoka mwisho mmoja wa dunia hadi mwingine. Huko mtaabudu miungu mingine, miungu ya miti na ya mawe, ambayo ninyi wala baba zenu hamkuijua.

Judges 5:8Walipochagua miungu migeni, 2 vita vilikuja katika malango ya mji, 1 hapakuonekana ngao wala mkuki 2 miongoni mwa mashujaa 40,000 katika Israeli. 1

Isaiah 44:8Msitetemeke, msiogope. 2 Je, sikutangaza hili, na kutoa unabii tangu zamani? 1 Ninyi ni mashahidi wangu. 2 Je, yuko Mungu zaidi yangu mimi? 1 Hasha, hakuna Mwamba mwingine; 2 mimi simjui mwingine.” 1

Jeremiah 19:4Kwa kuwa wameniacha na kupafanya mahali hapa kuwa pa miungu ya kigeni. Wameiteketezea sadaka miungu ambayo wao wala baba zao wala wafalme wa Yuda kamwe hawakuijua, nao wamelijaza eneo hili kwa damu isiyo na hatia.

1 Corinthians 10:19Je, nina maana kwamba kafara iliyotolewa kwa sanamu ni kitu chenye maana yoyote? Au kwamba sanamu ni kitu chenye maana yoyote?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:16Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:18 →