The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:2

Kumbukumbu 32:2

Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua, 2 na maneno yangu na yashuke kama umande, 1 kama manyunyu juu ya majani mabichi, 2 kama mvua tele juu ya mimea myororo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My doctrine shall drop as the rain, my speech shall distil as the dew, as the small rain upon the tender herb, and as the showers upon the grass:

In Context

1Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitasema; 2 sikia, ee nchi, maneno ya kinywa changu. 1

3Nitalitangaza jina la Bwana. 2 Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu! 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Job 29:22Baada ya mimi kuzungumza, hawakusema zaidi; 2 maneno yangu yaliingia masikioni mwao kwa makini. 1

Isaiah 55:10Kama vile mvua na theluji 2 ishukavyo kutoka mbinguni, 1 nayo hairudi tena huko 2 bila kunywesha dunia 1 na kuichipusha na kuistawisha, 2 hivyo hutoa mbegu kwa mpanzi 2 na mkate kwa mlaji, 1

Hosea 14:5Nitakuwa kama umande kwa Israeli; 2 atachanua kama yungiyungi. 1 Kama mwerezi wa Lebanoni 2 atashusha mizizi yake chini; 1

Micah 5:7Mabaki ya Yakobo yatakuwa 2 katikati ya mataifa mengi 1 kama umande kutoka kwa Bwana, 2 kama manyunyu juu ya majani, 1 ambayo hayamngoji mtu 2 wala kukawia kwa mwanadamu. 1

1 Corinthians 3:6Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:1Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:3 →