The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:3

Kumbukumbu 32:3

Nitalitangaza jina la Bwana. 2 Naam, sifuni ukuu wa Mungu wetu! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Because I will publish the name of the LORD: ascribe ye greatness unto our God.

In Context

2Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua, 2 na maneno yangu na yashuke kama umande, 1 kama manyunyu juu ya majani mabichi, 2 kama mvua tele juu ya mimea myororo. 1

4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Exodus 3:13Mose akamwambia Mungu, “Ikiwa nitawaendea Waisraeli na kuwaambia, ‘Mungu wa baba zenu amenituma kwenu,’ nao wakiniuliza, ‘Jina lake ni nani?’ Nitawaambia nini?”

Exodus 20:24“ ‘Utanitengenezea madhabahu ya udongo, na juu yake utoe sadaka za kuteketezwa kwa moto na sadaka za amani, kondoo zako, mbuzi na ngʼombe zako. Popote nitakapofanya Jina langu liheshimiwe, nitakuja kwenu na kuwabariki.

Exodus 34:5Kisha Bwana akashuka katika wingu akasimama pamoja naye huko, akalitangaza jina lake, Bwana.

Deuteronomy 5:24Nanyi mkasema, “ Bwana Mungu wetu ametuonyesha utukufu na enzi yake, nasi tumesikia sauti yake kutoka kwenye moto. Leo tumeona kwamba mwanadamu anaweza kuishi hata kama Mungu akizungumza naye.

1 Chronicles 29:10Daudi akamhimidi Bwana mbele ya kusanyiko lote, akisema: 1 “Uhimidiwe wewe, Ee Bwana, 2 Mungu wa Israeli baba yetu, 2 tangu milele hata milele. 1

1 Chronicles 29:13Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru 2 na kulisifu Jina lako tukufu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:2Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:4 →