Kumbukumbu 32:23
“Nitalundika majanga juu yao 2 na kutumia mishale yangu dhidi yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will heap mischiefs upon them; I will spend mine arrows upon them.
In Context
Cross References
Leviticus 26:24mimi mwenyewe nitaweka uadui nanyi, na kuwatesa kwa ajili ya dhambi zenu mara saba zaidi.
Deuteronomy 29:21Bwana atamtwaa peke yake kutoka makabila ya Israeli kwa maangamizo, kulingana na laana zote za Agano zilizoandikwa kwenye Kitabu hiki cha Sheria.
Psalms 7:12Kama hakutuhurumia, 2 atanoa upanga wake, 2 ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 1
Isaiah 24:17Hofu, shimo na mtego vinakungojea, 2 ewe mtu ukaaye duniani. 1
Jeremiah 15:2Nao kama wakikuuliza, ‘Twende wapi?’ Waambie, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Wale waliowekwa kwa ajili ya kufa, wakafe; 2 waliowekwa kwa ajili ya upanga, kwa upanga; 1 waliowekwa kwa ajili ya njaa, kwa njaa: 2 waliowekwa kwa ajili ya kutekwa, watekwe.’ ”
Ezekiel 5:16Nitakapokupiga kwa mishale yangu ya kufisha na yenye kuharibu ya njaa, nitaipiga ili kukuangamiza. Nitaleta njaa zaidi na zaidi juu yako na kukomesha upatikanaji wa chakula kwako.