The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:22

Kumbukumbu 32:22

Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For a fire is kindled in mine anger, and shall burn unto the lowest hell, and shall consume the earth with her increase, and set on fire the foundations of the mountains.

In Context

21Wamenifanya niwe na wivu 2 kwa kile ambacho si mungu, 1 na kunikasirisha kwa sanamu zao 2 zisizokuwa na thamani. 1 Nitawafanya wawaonee wivu wale ambao si taifa. 2 Nitawafanya wakasirishwe 2 na taifa lile lisilo na ufahamu. 1

23“Nitalundika majanga juu yao 2 na kutumia mishale yangu dhidi yao. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Deuteronomy 29:20Bwana kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na Bwana atafuta jina lake chini ya mbingu.

Psalms 18:7Dunia ilitetemeka na kutikisika, 2 misingi ya milima ikatikisika, 2 vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika. 1

Psalms 46:2Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa 2 nayo milima ikiangukia moyoni mwa bahari. 1

Psalms 86:13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; 2 umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi. + 86:13 Yaani Kuzimu. 1

Psalms 144:5Ee Bwana, pasua mbingu zako, ushuke, 2 gusa milima ili itoe moshi. 1

Isaiah 24:19Dunia imepasuka, 2 dunia imechanika, 2 dunia imetikiswa kabisa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:21Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:23 →