The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:25

Kumbukumbu 32:25

Barabarani upanga utawakosesha watoto; 2 nyumbani mwao hofu itatawala. 1 Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, 2 pia watoto wachanga na wazee wenye mvi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The sword without, and terror within, shall destroy both the young man and the virgin, the suckling also with the man of gray hairs.

In Context

24Nitatuma njaa kali dhidi yao maradhi mabaya, 2 yateketezayo na tauni ya kufisha; 1 nitawapelekea meno makali ya wanyama mwitu, 2 na sumu ya nyoka wale watambaao mavumbini. 1

26Nilisema ningewatawanya 2 na kufuta kumbukumbu lao 2 katika mwanadamu. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Leviticus 26:36“ ‘Kwa habari ya wenzenu wale watakaobaki, nitaifanya mioyo yao kuwa na hofu kuu katika nchi za adui zao, kiasi kwamba sauti ya jani linalopeperushwa na upepo itawafanya wakimbie. Watakimbia kana kwamba wanakimbia upanga, nao wataanguka, ingawa hakuna anayewafukuza.

2 Chronicles 36:17Mungu akamwinua dhidi yao mfalme wa Wakaldayo, aliyewaua vijana wao wa kiume kwa upanga ndani ya mahali patakatifu, ambaye hakumbakiza kijana mwanaume wala kijana mwanamke, wazee wala vikongwe. Mungu akawatia wote mikononi mwa Nebukadneza.

Jeremiah 9:21Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, 2 imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; 1 imewakatilia mbali watoto katika barabara 2 na vijana waume kutoka viwanja vya miji.

Jeremiah 44:8Kwa nini kuichochea hasira yangu kwa kile ambacho mikono yenu imekitengeneza, mkaifukizia uvumba miungu mingine huko Misri, mahali mlipokuja kuishi? Mtajiangamiza wenyewe na kujifanya kitu cha kulaania na shutumu miongoni mwa mataifa yote duniani.

Lamentations 2:19Inuka, lia usiku, 2 zamu za usiku zianzapo; 1 mimina moyo wako kama maji 2 mbele za Bwana. 1 Mwinulie yeye mikono yako 2 kwa ajili ya maisha ya watoto wako, 1 ambao wanazimia kwa njaa 2 kwenye kila mwanzo wa barabara. 1

Ezekiel 7:15“Nje ni upanga, ndani ni tauni na njaa, wale walioko shambani watakufa kwa upanga, nao wale waliomo mjini njaa na tauni vitawala.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:24Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:26 →