The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:29

Kumbukumbu 32:29

Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili, 2 na kutambua mwisho wao utakuwa aje! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O that they were wise, that they understood this, that they would consider their latter end!

In Context

28Wao ni taifa lisilo na akili, 2 hakuna busara ndani yao. 1

30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, 2 au wawili kufukuza elfu kumi, 1 kama si kwamba Mwamba wao amewauza, 2 kama si kwamba Bwana amewaacha? 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Deuteronomy 5:29Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili kwamba wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele!

Psalms 107:15Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, 2 na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 1

Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1

Isaiah 47:7Ukasema, ‘Nitaendelea 2 kuwa malkia milele!’ 1 Lakini hukutafakari mambo haya 2 wala hukuwaza juu ya kile kingeweza kutokea. 1

Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?

Lamentations 1:9Uchafu wake umegandamana na nguo zake; 2 hakuwaza juu ya maisha yake ya baadaye. 1 Anguko lake lilikuwa la kushangaza, 2 hapakuwepo na yeyote wa kumfariji. 1 “Tazama, Ee Bwana, teso langu, 2 kwa maana adui ameshinda.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:28Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:30 →