The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:18

Isaiah 59:18

Kulingana na kile walichokuwa wametenda, 2 ndivyo atakavyolipa 1 ghadhabu kwa watesi wake 2 na kisasi kwa adui zake, 2 atavilipa visiwa sawa na wanavyostahili. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

According to their deeds, accordingly he will repay, fury to his adversaries, recompence to his enemies; to the islands he will repay recompence.

In Context

17Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, 2 na chapeo ya wokovu kichwani mwake, 1 alivaa mavazi ya kisasi 2 naye akajifunga wivu kama joho. 1

19Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana 2 na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. 1 Wakati adui atakapokuja kama mafuriko, 2 Roho wa Bwana atainua kiwango dhidi yake na kumshinda. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Job 34:11Humlipa mwanadamu kwa ajili ya lile alilotenda; 2 huleta juu yake kile ambacho matendo yake yanastahili. 1

Psalms 21:8Mkono wako utawashika adui zako wote, 2 mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 1

Isaiah 1:24Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mwenye Nguvu wa Israeli, asema hivi: 1 “Lo, nitapata faraja kutoka kwa adui zangu 2 na kujilipizia kisasi juu ya watesi wangu. 1

Isaiah 63:3“Nimekanyaga shinikizo la zabibu peke yangu; 2 kutoka mataifa hakuna mtu aliyekuwa pamoja nami. 1 Nimewaponda kwa miguu katika hasira yangu 2 na kuwakanyaga chini katika ghadhabu yangu; 1 damu yao ilitia matone kwenye mavazi yangu, 2 na kutia madoa nguo zangu zote. 1

Isaiah 66:14Wakati mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia, 2 nanyi mtastawi kama majani; 1 mkono wa Bwana utajulikana kwa watumishi wake, 2 bali ghadhabu yake kali 2 itaonyeshwa kwa adui zake. 1

Jeremiah 17:10“Mimi Bwana huchunguza moyo 2 na kuzijaribu nia, 1 ili kumlipa mtu kwa kadiri ya mwenendo wake, 2 kwa kadiri ya matendo yake yanavyostahili.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:17Isaiah 59Isaiah 59:19 →