The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 3 › Sefania 3:7

Sefania 3:7

Niliuambia huo mji, 2 ‘Hakika utaniogopa na kukubali maonyo!’ 1 Ndipo makao yake hayatafutiliwa mbali, 2 wala adhabu zangu zote hazitakuja juu yake. 1 Lakini walikuwa bado na shauku 2 kutenda kwa upotovu katika yote waliyofanya.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I said, Surely thou wilt fear me, thou wilt receive instruction; so their dwelling should not be cut off, howsoever I punished them: but they rose early, and corrupted all their doings.

In Context

6“Nimeyafutilia mbali mataifa, 2 ngome zao zimebomolewa. 1 Nimeziacha barabara ukiwa, 2 hakuna anayepita humo. 1 Miji yao imeharibiwa; 2 hakuna mmoja atakayeachwa: 2 hakuna hata mmoja. 1

8Bwana anasema, 2 “Kwa hiyo ningojee mimi, 2 siku nitakayosimama kuteka nyara. 1 Nimeamua kukusanya mataifa, 2 kukusanya falme 1 na kumimina ghadhabu yangu juu yao, 2 hasira yangu kali yote. 1 Dunia yote itateketezwa 2 kwa moto wa wivu wa hasira yangu. 1

Read all of Sefania 3

Cross References

Genesis 6:12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.

2 Chronicles 28:6Kwa siku moja Peka mwana wa Remalia aliwaua askari 120,000 katika Yuda, kwa kuwa Yuda walikuwa wamemwacha Bwana, Mungu wa baba zao.

2 Chronicles 33:11Hivyo Bwana akaleta juu yao majemadari wa jeshi la mfalme wa Ashuru, ambao walimchukua Manase kwenda kifungoni, wakaweka ndoana katika pua yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.

Proverbs 19:20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, 2 nawe mwishoni utakuwa na hekima. 1

Isaiah 63:8Alisema, “Hakika wao ni watu wangu, 2 wana ambao hawatanidanganya”; 2 hivyo akawa Mwokozi wao. 1

Jeremiah 7:7ndipo nitawaacha mkae mahali hapa, katika nchi niliyowapa baba zenu milele na milele.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 3:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 3:6Sefania 3Sefania 3:8 →