The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:16

Kumbukumbu 33:16

pamoja na baraka nzuri mno 2 za ardhi na ukamilifu wake, 1 na upendeleo wake yeye 2 aliyeishi kwenye kichaka 2 kilichokuwa kinawaka moto. 1 Hivi vyote na vikae juu ya kichwa cha Yosefu, 2 juu ya paji la uso la aliye mkuu 2 miongoni mwa ndugu zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And for the precious things of the earth and fulness thereof, and for the good will of him that dwelt in the bush: let the blessing come upon the head of Joseph, and upon the top of the head of him that was separated from his brethren.

In Context

15pamoja na zawadi bora sana 2 za milima ya zamani 1 na kwa wingi wa baraka 2 za vilima vya milele; 1

17Katika fahari yeye ni kama fahali mzaliwa wa kwanza; 2 pembe zake ni pembe za nyati, 1 na kwa pembe hizo atapiga mataifa, 2 hata yaliyo miisho ya dunia. 1 Hivyo ndivyo yalivyo makumi elfu ya Efraimu; 2 hivyo ndivyo yalivyo maelfu ya Manase.”

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Genesis 37:36Wakati ule ule, Wamidiani wakamuuza Yosefu huko Misri kwa Potifa, mmojawapo wa maafisa wa Farao, aliyekuwa mkuu wa ulinzi.

Genesis 43:32Wakampakulia Yosefu peke yake, ndugu zake peke yao na Wamisri waliokula pamoja naye peke yao, kwa sababu Wamisri wasingeweza kula pamoja na Waebrania, kwa maana ilikuwa ni chukizo kwa Wamisri.

Genesis 49:26Baraka za baba yako ni kubwa 2 kuliko baraka za milima ya kale, 2 nyingi kuliko vilima vya kale. 1 Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yosefu, 2 juu ya paji la yule mkuu miongoni mwa ndugu zake. 1

Psalms 24:1Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, 2 ulimwengu, na wote waishio ndani yake, 1

Psalms 89:11Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, 2 uliuwekea ulimwengu msingi 2 pamoja na vyote vilivyomo. 1

Mark 12:26Basi kuhusu wafu kufufuliwa, je hamjasoma katika Kitabu cha Mose jinsi Mungu alivyosema na Mose kutoka kile kichaka akisema, ‘Mimi ni Mungu wa Abrahamu, na Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo?’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:15Kumbukumbu 33Kumbukumbu 33:17 →