The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 49 › Genesis 49:26

Genesis 49:26

Baraka za baba yako ni kubwa 2 kuliko baraka za milima ya kale, 2 nyingi kuliko vilima vya kale. 1 Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yosefu, 2 juu ya paji la yule mkuu miongoni mwa ndugu zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The blessings of thy father have prevailed above the blessings of my progenitors unto the utmost bound of the everlasting hills: they shall be on the head of Joseph, and on the crown of the head of him that was separate from his brethren.

In Context

25kwa sababu ya Mungu wa baba yako, anayekusaidia, 2 kwa sababu ya Mwenyezi, + 49:25 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. yeye anayekubariki 1 kwa baraka za mbinguni juu, 2 baraka za kilindi kilichoko chini, 2 baraka za matitini na za tumbo la uzazi. 1

27“Benyamini ni mbwa mwitu mlafi mwenye njaa kuu; 2 asubuhi hurarua mawindo yake, 2 jioni hugawa nyara.”

Read all of Genesis 49

Cross References

Genesis 27:27Kwa hiyo akamwendea akambusu. Isaki aliposikia harufu ya nguo zake, akambariki, akasema, 1 “Aha, harufu ya mwanangu 2 ni kama harufu ya shamba 2 ambalo Bwana amelibariki. 1

Genesis 28:3Mungu Mwenyezi + 28:3 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). na akubariki uwe na uzao uongezeke idadi yako upate kuwa jamii kubwa ya watu.

Numbers 6:2“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Ikiwa mwanaume au mwanamke anataka kuweka nadhiri maalum, nadhiri ya kutengwa kwa ajili ya Bwana kama Mnadhiri,

Psalms 89:36kwamba uzao wake utaendelea milele, 2 na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua; 1

Psalms 132:18Adui zake nitawavika aibu, 2 bali taji kichwani pake itangʼaa sana.”

Isaiah 66:5Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi mtetemekao kwa neno lake: 1 “Ndugu zenu wanaowachukia ninyi 2 na kuwatenga ninyi kwa sababu ya Jina langu, wamesema, 1 ‘ Bwana na atukuzwe, 2 ili tupate kuona furaha yenu!’ 2 Hata sasa wataaibika. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 49:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 49:25Genesis 49Genesis 49:27 →