The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 23 › Numbers 23:9

Numbers 23:9

Kutoka vilele vya miamba ninawaona, 2 kutoka mahali palipoinuka ninawatazama. 1 Ninaliona taifa ambalo wanaishi peke yao, 2 nao hawahesabiwi kama mojawapo ya mataifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For from the top of the rocks I see him, and from the hills I behold him: lo, the people shall dwell alone, and shall not be reckoned among the nations.

In Context

8Nitawezaje kuwalaani, 2 hao ambao Mungu hajawalaani? 1 Nitawezaje kuwashutumu 2 hao ambao Bwana hakuwashutumu? 1

10Ni nani awezaye kuhesabu mavumbi ya Yakobo, 2 au kuhesabu robo ya Israeli? 1 Mimi na nife kifo cha mtu mwenye haki, 2 na mwisho wangu na uwe kama wao!”

Read all of Numbers 23

Cross References

Exodus 19:5Sasa kama mkinitii kikamilifu na kutunza Agano langu, basi ninyi mtakuwa mali yangu ya thamani kubwa miongoni mwa mataifa yote. Ijapokuwa dunia yote ni mali yangu,

Deuteronomy 32:8Aliye Juu Sana alipowapa mataifa urithi wao, 2 alipogawanya wanadamu wote, 1 aliweka mipaka kwa ajili ya mataifa 2 sawasawa na hesabu ya wana wa Israeli. 1

Ezra 9:2Wamewaoa baadhi ya binti zao kuwa wake zao na wake za wana wao, nao wamechanganya taifa takatifu na watu waliowazunguka. Nao viongozi na maafisa wamekuwa mstari wa mbele katika njia hii potovu.”

Jeremiah 46:28Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, 2 kwa maana mimi niko pamoja nawe,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote 2 ambayo miongoni mwake nimekutawanya, 2 sitakuangamiza wewe kabisa. 1 Nitakurudi, lakini kwa haki tu, 2 wala sitakuacha kabisa bila kukuadhibu.”

Micah 7:14Wachunge watu wako kwa fimbo yako, 2 kundi la urithi wako, 1 ambalo linaishi peke yake msituni, 2 katika nchi ya malisho yenye rutuba. 1 Waache walishe katika Bashani na Gileadi 2 kama ilivyokuwa siku za kale. 1

2 Corinthians 6:17“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, 2 mkatengwe nao, 4 asema Bwana. 1 Msiguse kitu chochote kilicho najisi, 2 nami nitawakaribisha.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 23:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 23:8Numbers 23Numbers 23:10 →