Kumbukumbu 6:16
Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye shall not tempt the LORD your God, as ye tempted him in Massah.
In Context
17Utayashika maagizo ya Bwana Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa.
Cross References
Exodus 17:7Naye akapaita mahali pale Masa, + 17:7 Masa maana yake ni Kujaribu. na Meriba + 17:7 Meriba maana yake ni Kugombana. kwa sababu Waisraeli waligombana na kumjaribu Bwana wakisema, “Je, Bwana yu pamoja nasi au la?” 1 Vita Na Waamaleki
Numbers 20:13Haya yalikuwa maji ya Meriba, + 20:13 Meriba maana yake Kugombana. mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na Bwana, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao. 1 Edomu Wakatalia Israeli Kupita
Psalms 95:8msiifanye mioyo yenu migumu 2 kama mlivyofanya kule Meriba, + 95:8 Meriba maana yake ni Kugombana. 1 kama mlivyofanya siku ile 2 kule Masa + 95:8 Masa maana yake ni Kujaribiwa. jangwani, 1
Matthew 4:7Yesu akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”
1 Corinthians 10:9Wala tusimjaribu Kristo, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka.