Mhubiri 1:4
Vizazi huja na vizazi hupita, 2 lakini dunia inadumu milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
One generation passeth away, and another generation cometh: but the earth abideth for ever.
In Context
3Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote 2 anayotaabikia chini ya jua? 1
5Jua huchomoza na jua huzama, 2 nalo huharakisha kurudi mawioni. 1
Cross References
Genesis 5:3Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, alikuwa na mwana aliyekuwa na sura yake, mwenye kufanana naye. Akamwita Sethi.
Genesis 36:9Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri. 1
Exodus 1:6Basi Yosefu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa,
Psalms 89:47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. 2 Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 1
Psalms 102:24Ndipo niliposema: 2 “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; 2 miaka yako inaendelea vizazi vyote. 1
Psalms 119:90Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote, 2 umeiumba dunia, nayo inadumu. 1