Mhubiri 1:5
Jua huchomoza na jua huzama, 2 nalo huharakisha kurudi mawioni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sun also ariseth, and the sun goeth down, and hasteth to his place where he arose.
In Context
4Vizazi huja na vizazi hupita, 2 lakini dunia inadumu milele. 1
Cross References
Genesis 8:22“Kwa muda dunia idumupo, 1 wakati wa kupanda na wa kuvuna, 1 wakati wa baridi na wa joto, 1 wakati wa kiangazi na wa masika, 1 usiku na mchana 1 kamwe havitakoma.”
Psalms 19:4Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu. 1 Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua, 2
Psalms 42:1Kama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji, 2 ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu. 1
Psalms 104:19Mwezi hugawanya majira, 2 na jua hutambua wakati wake wa kutua. 1
Habakkuk 3:11Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni 2 katika mngʼao wa mishale yako inayoruka, 2 na katika mngʼao wa mkuki wako umeremetao. 1