The Bible Software
bible.softwareJonahJonah 1 › Jonah 1:4

Jonah 1:4

Ndipo Bwana akatuma upepo mkali baharini, nayo dhoruba kali sana ikavuma hata meli ikawa hatarini kuvunjika.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the LORD sent out a great wind into the sea, and there was a mighty tempest in the sea, so that the ship was like to be broken.

In Context

3Lakini Yona alimkimbia Bwana na kuelekea Tarshishi. Alishuka mpaka Yafa, ambapo alikuta meli iliyokuwa imepangwa kuelekea bandari ile. Baada ya kulipa nauli, akapanda melini na kuelekea Tarshishi ili kumkimbia Bwana.

5Mabaharia wote waliogopa na kila mmoja akamlilia mungu wake mwenyewe. Nao wakatupa mizigo baharini ili meli ipungue uzito. Lakini Yona alikuwa ameteremkia chumba cha ndani ya meli, mahali ambapo alilala na kupatwa na usingizi mzito.

Read all of Jonah 1

Cross References

Exodus 10:19Naye Bwana akaugeuza upepo ukavuma kutoka magharibi, wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka kwenye Bahari ya Shamu. Hakuna nzige hata mmoja aliyebaki popote katika nchi ya Misri.

Exodus 15:10Lakini ulipuliza kwa pumzi yako, 2 bahari ikawafunika. 1 Wakazama kama risasi 2 kwenye maji makuu. 1

Psalms 107:23Wengine walisafiri baharini kwa meli, 2 walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu. 1

Psalms 135:7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; 2 hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua 2 na huleta upepo kutoka ghala zake. 1

Amos 4:13Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, 2 na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, 1 yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, 2 na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: 2 Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.

Acts 27:13Upepo mtulivu ulipoanza kuvuma toka kusini, wakadhani kuwa wangeweza kufikia lengo lao, hivyo wakangʼoa nanga na kusafiri wakipita kandokando ya pwani ya kisiwa cha Krete.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jonah 1:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jonah 1:3Jonah 1Jonah 1:5 →