Proverbs 13:16
Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa, 2 bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Every prudent man dealeth with knowledge: but a fool layeth open his folly.
In Context
15Ufahamu mzuri hupata upendeleo, 2 bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. 1
17Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu, 2 bali mjumbe mwaminifu huleta uponyaji. 1
Cross References
1 Samuel 25:17Sasa fikiri juu ya jambo hili na uone unaweza kufanya nini, kwa sababu maafa yanakaribia juu ya bwana wetu na nyumba yake yote. Yeye ni mtu mwovu kiasi kwamba hakuna mtu awezaye kuzungumza naye.”
Psalms 112:5Mema yatamjia mtu yule aliye mkarimu na mwenye kukopesha bila riba, 2 anayefanya mambo yake kwa haki. 1
Proverbs 12:23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, 2 bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. 1
Proverbs 15:2Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 1
Ecclesiastes 10:3Hata anapotembea barabarani, 2 mpumbavu hukosa ufahamu 1 na kudhihirisha kwa kila mmoja 2 jinsi alivyo mpumbavu. 1
Isaiah 52:13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; 2 atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana. 1