The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 5 › Mhubiri 5:2

Mhubiri 5:2

Usiwe mwepesi kuzungumza, 2 usiwe na haraka katika moyo wako 2 kuzungumza lolote mbele za Mungu. 1 Mungu yuko mbinguni 2 nawe uko duniani, 1 kwa hiyo maneno yako 2 na yawe machache. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be not rash with thy mouth, and let not thine heart be hasty to utter any thing before God: for God is in heaven, and thou upon earth: therefore let thy words be few.

In Context

1Linda hatua zako uendapo katika nyumba ya Mungu. Karibia usikilize kuliko kutoa dhabihu ya wapumbavu, ambao hawajui kuwa wanafanya kosa. 1

3Kama vile ndoto huja 2 wakati kuna shughuli nyingi, 1 ndivyo yalivyo mazungumzo ya mpumbavu 2 wakati kuna maneno mengi.

Read all of Mhubiri 5

Cross References

Genesis 18:30Ndipo akasema, “Bwana na asikasirike, lakini niruhusu nizungumze. Je, kama huko watakuwepo thelathini tu?” Akajibu, “Sitapaangamiza ikiwa nitawakuta huko watu thelathini.”

Genesis 28:20Kisha Yakobo akaweka nadhiri, akisema, “Kama Mungu akiwa pamoja nami na kunilinda katika safari niendayo, akinipa chakula nile na nguo nivae

Leviticus 5:4“ ‘Au kama mtu ameapa kufanya kitu chochote bila kufikiri, kiwe chema au kibaya, kwa vyovyote mtu aweza kuapa bila kujali, hata akiwa hana habari, atakapofahamu atakuwa na hatia.

Judges 11:30Naye Yefta akaweka nadhiri mbele za Bwana akisema, “Ikiwa utawatia Waamoni mikononi mwangu,

Psalms 115:3Mungu wetu yuko mbinguni, 2 naye hufanya lolote limpendezalo. 1

Proverbs 20:25Ni mtego kwa mtu kuweka wakfu kitu kwa haraka 2 na baada ya kitambo kidogo kufikiria tena nadhiri zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 5:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 5:1Mhubiri 5Mhubiri 5:3 →