Mhubiri 10:8
Yeye achimbaye shimo 2 aweza kutumbukia ndani yake, 1 yeyote abomoaye ukuta 2 anaweza kuumwa na nyoka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that diggeth a pit shall fall into it; and whoso breaketh an hedge, a serpent shall bite him.
In Context
7Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, 2 wakati wakuu wakitembea 2 kwa miguu kama watumwa. 1
Cross References
Judges 9:53mwanamke mmoja akaangusha sehemu ya juu ya jiwe la kusagia juu ya kichwa cha Abimeleki, likapasua fuvu la kichwa chake.
2 Samuel 18:15Nao wabeba silaha kumi wa Yoabu wakamzunguka Absalomu, wakampiga na kumuua.
Psalms 7:15Yeye achimbaye shimo na kulifukua 2 hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe. 1
Psalms 9:15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, 2 miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 1
Amos 5:19Itakuwa kama vile mtu aliyemkimbia simba 2 kumbe akakutana na dubu, 1 kama vile mtu aliyeingia nyumbani mwake 2 na kuupumzisha mkono wake kwenye ukuta, 2 kumbe akaumwa na nyoka. 1