Mhubiri 2:1
Nikafikiri moyoni mwangu, “Haya basi, nitakujaribu kwa anasa nione ni lipi lililo jema.” Lakini hilo nalo likaonekana ni ubatili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Nikasema, “Kicheko nacho ni upumbavu. Nayo matokeo ya anasa ni nini?”
Cross References
Genesis 11:7Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”
Psalms 10:6Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa, 2 daima nitakuwa na furaha, 2 kamwe sitakuwa na shida.” 1
Psalms 27:8Moyo wangu unasema kuhusu wewe, 2 “Utafute uso wake!” 2 Uso wako, Bwana “Nitautafuta.” 1
Ecclesiastes 1:16Niliwaza mwenyewe, “Tazama, nimekua na kuongezeka katika hekima kuliko yeyote aliyewahi kutawala Yerusalemu kabla yangu. Nimekuwa na uzoefu mkubwa wa hekima na maarifa.”
Ecclesiastes 2:15Kisha nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Hatima ya mpumbavu itanipata mimi pia. 2 Nitafaidi nini basi kwa kuwa na hekima?” 1 Nikasema moyoni mwangu, 2 “Hili nalo ni ubatili.” 1
Ecclesiastes 3:17Nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Mungu atawaleta hukumuni 2 wote wawili wenye haki na waovu, 1 kwa maana kutakuwako na wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 wakati kwa ajili ya kila tendo.”