Genesis 11:7
Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Hivyo Bwana akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji.
Cross References
Genesis 1:26Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.” 1
Genesis 10:5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 2 Wazao Wa Hamu 1
Genesis 10:32Hizi ndizo koo za wana wa Noa, kufuatana na vizazi vyao, katika mataifa yao. Kutokana na hawa mataifa yalienea duniani kote baada ya gharika.
Genesis 42:23Hawakujua kuwa Yosefu angewaelewa, kwa sababu alitumia mkalimani.
Job 5:12Huipinga mipango ya wenye hila, 2 ili mikono yao isifikie ufanisi. 1
Psalms 2:4Yeye atawalaye mbinguni hucheka, 2 Bwana huwadharau. 1