Mhubiri 2:15
Kisha nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Hatima ya mpumbavu itanipata mimi pia. 2 Nitafaidi nini basi kwa kuwa na hekima?” 1 Nikasema moyoni mwangu, 2 “Hili nalo ni ubatili.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 3:12nitafanya lile uliloomba. Nitakupa moyo wa hekima na wa ufahamu, kiasi kwamba hajakuwepo mtu mwingine kama wewe, wala kamwe hatakuwepo baada yako.
Ecclesiastes 1:14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 1
Ecclesiastes 1:18Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa; 2 maarifa yanapoongezeka, masikitiko yanaongezeka.
Ecclesiastes 6:8Mtu mwenye hekima ana faida gani 2 zaidi ya mpumbavu? 1 Mtu maskini anapata faida gani 2 kwa kujua jinsi ya kujistahi 2 mbele ya watu wengine? 1