Mhubiri 2:22
Mtu atapata nini kwa taabu yote na kuhangaika kwa bidii katika kazi anayotaabikia chini ya jua?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 16:26Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; 2 njaa yake humsukuma aendelee. 1
Ecclesiastes 2:11Hata hivyo nilipokuja kuangalia yote ambayo 2 mikono yangu ilikuwa imefanya 2 na yale niliyotaabika kukamilisha, 1 kila kitu kilikuwa ni ubatili, ni kukimbiza upepo; 2 hapakuwa na faida yoyote chini ya jua. 1 Hekima Na Upumbavu Ni Ubatili 1
Ecclesiastes 4:6Afadhali konzi moja pamoja 2 na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu 2 na kukimbiza upepo.
Ecclesiastes 5:10Yeyote apendaye fedha kamwe 2 hatosheki na fedha; 1 yeyote apendaye utajiri kamwe 2 hatosheki na kipato chake. 2 Hili nalo pia ni ubatili. 1
Ecclesiastes 6:7Juhudi zote za binadamu ni kwa ajili ya kinywa chake, 2 hata hivyo hamu yake kamwe haitoshelezwi. 1
Matthew 6:11Utupatie riziki yetu 2 ya kila siku. 1