Mhubiri 2:26
Kwa yule mtu anayempendeza Mungu, Mungu humpa hekima, maarifa na furaha, bali kwa mwenye dhambi Mungu humpa kazi ya kukusanya na kuhifadhi utajiri ili Mungu ampe yule anayempenda. Hili nalo pia ni ubatili, ni kukimbiza upepo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25kwa sababu pasipo yeye, ni nani awezaye kula na kufurahi?
Cross References
Genesis 7:1Ndipo Bwana akamwambia Noa, “Ingia katika safina wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki.
Job 27:16Ajapokusanya fedha nyingi kama mavumbi, 2 na mavazi kama malundo ya udongo wa mfinyanzi, 1
Job 32:8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, 2 pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 1
Proverbs 3:13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1
Proverbs 28:8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa mno 2 hukusanya kwa ajili ya mwingine, 2 ambaye atawahurumia maskini. 1
Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1