Ayubu 32:8
Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, 2 pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But there is a spirit in man: and the inspiration of the Almighty giveth them understanding.
In Context
7Nilifikiri, ‘Yafaa umri useme, 2 nao wingi wa miaka ungefundisha hekima.’ 1
9Sio wazee peke yao walio na hekima, 2 sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa. 1
Cross References
Genesis 41:38Hivyo Farao akawauliza, “Je tunaweza kumpata yeyote kama mtu huyu, ambaye Roho wa Mungu yumo ndani yake?”
1 Kings 3:12nitafanya lile uliloomba. Nitakupa moyo wa hekima na wa ufahamu, kiasi kwamba hajakuwepo mtu mwingine kama wewe, wala kamwe hatakuwepo baada yako.
1 Kings 4:29Mungu akampa Solomoni hekima na akili kubwa, pia ufahamu mpana usiopimika kama mchanga ulioko pwani ya bahari.
Job 4:12“Neno lililetwa kwangu kwa siri, 2 masikio yangu yakasikia mnongʼono wake. 1
Job 12:16Kwake kuna nguvu na ushindi; 2 adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. 1
Job 33:16anaweza akasemea masikioni mwao, 2 na kuwatia hofu kwa maonyo, 1