Mwanzo 18:25
Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 16:22Lakini Mose na Aroni wakaanguka kufudifudi na kulia kwa sauti, wakasema, “Ee Mungu, Mungu wa roho za wanadamu wote, utakuwa na hasira na kusanyiko lote wakati ni mtu mmoja tu ametenda dhambi?”
1 Chronicles 16:33Kisha miti ya msituni itaimba, 2 itaimba kwa furaha mbele za Bwana, 2 kwa maana anakuja kuihukumu dunia. 1
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Job 9:22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, 2 ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 1
Job 34:12Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Mungu angefanya makosa, 2 kwamba Mwenyezi angepotosha hukumu. 1
Psalms 7:12Kama hakutuhurumia, 2 atanoa upanga wake, 2 ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 1