Mhubiri 4:3
Lakini aliye bora kuliko hao wawili 2 ni yule ambaye hajazaliwa bado, 1 ambaye hajaona ule uovu 2 unaofanyika chini ya jua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 3:16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, 2 kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 1
Job 10:18“Kwa nini basi ulinitoa tumboni? 2 Ninatamani ningekufa kabla jicho lolote halijaniona. 1
Ecclesiastes 1:14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 1
Ecclesiastes 6:3Mtu anaweza kuwa na watoto mia moja naye akaishi miaka mingi, lakini haidhuru kuwa ataishi muda mrefu kiasi gani, kama hawezi kufurahia mafanikio yake na kwamba hapati mazishi ya heshima, ninasema afadhali mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa kuliko yeye.
Jeremiah 9:2Laiti ningekuwa na nyumba 2 ya kukaa wasafiri jangwani, 1 ningewaacha watu wangu 2 na kwenda mbali nao, 1 kwa kuwa wote ni wazinzi, 2 kundi la watu wadanganyifu. 1
Matthew 24:19Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!