The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 4 › Mhubiri 4:5

Mhubiri 4:5

Mpumbavu hukunja mikono yake 2 na kujiangamiza mwenyewe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The fool foldeth his hands together, and eateth his own flesh.

In Context

4Tena nikaona kuwa kazi zote na mafanikio yote huchipuka kutokana na wivu wa mtu kwa jirani yake. Hili nalo ni ubatili, ni kukimbiza upepo. 1

6Afadhali konzi moja pamoja 2 na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu 2 na kukimbiza upepo.

Read all of Mhubiri 4

Cross References

Proverbs 6:9Ewe mvivu, utalala hata lini? 2 Utaamka lini kutoka usingizi wako? 1

Proverbs 6:11hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, 2 na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha. 1

Proverbs 12:27Mtu mvivu haoki mawindo yake, 2 bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. 1

Proverbs 20:4Mvivu halimi kwa majira; 2 kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama 2 lakini hapati chochote. 1

Isaiah 9:20Upande wa kuume watakuwa wakitafuna, 2 lakini bado wataona njaa; 1 upande wa kushoto watakuwa wakila, 2 lakini hawatashiba. 1 Kila mmoja atajilisha kwa nyama ya mtoto wake mwenyewe: 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 4:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 4:4Mhubiri 4Mhubiri 4:6 →