The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 5 › Mhubiri 5:13

Mhubiri 5:13

Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: 1 Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima 2 na kuleta madhara kwa mwenye mali, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is a sore evil which I have seen under the sun, namely, riches kept for the owners thereof to their hurt.

In Context

12Usingizi wa kibarua ni mtamu, 2 awe amekula kidogo au kingi, 1 lakini wingi wa mali 2 humnyima tajiri usingizi.

14au utajiri uliopotea kwa bahati mbaya, 2 hivyo kwamba wakati akiwa na mwana 2 hakuna chochote kilichobaki kwa ajili yake. 1

Read all of Mhubiri 5

Cross References

Genesis 13:5Basi Loti, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ngʼombe na mahema.

Genesis 19:14Kwa hiyo Loti alitoka ili kuzungumza na wakwe zake, waliokuwa wamewaposa binti zake. Akawaambia, “Fanyeni haraka kuondoka mahali hapa, kwa kuwa Bwana yu karibu kuangamiza mji huu!” Lakini wakwe zake walifikiri kwamba alikuwa akitania.

Genesis 19:31Siku moja binti mkubwa akamwambia yule mdogo, “Baba yetu ni mzee na hakuna mwanaume mahali hapa atakayekutana na sisi kimwili, kama ilivyo desturi ya mahali pote duniani.

Proverbs 1:19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; 2 huuondoa uhai wa wale wenye mali. 1 Onyo Dhidi Ya Kukataa Hekima 1

Proverbs 11:4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, 2 bali haki huokoa kutoka mautini. 1

Proverbs 23:4Usijitaabishe ili kuupata utajiri, 2 uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 5:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 5:12Mhubiri 5Mhubiri 5:14 →