Mhubiri 5:14
au utajiri uliopotea kwa bahati mbaya, 2 hivyo kwamba wakati akiwa na mwana 2 hakuna chochote kilichobaki kwa ajili yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But those riches perish by evil travail: and he begetteth a son, and there is nothing in his hand.
In Context
Cross References
1 Samuel 2:36Kisha kila mmoja aliyeachwa katika mbari yenu atakuja na kusujudu mbele yake kwa ajili ya kipande cha fedha na ganda la mkate akisema, “Niteue katika baadhi ya ofisi ya ukuhani ili niweze kupata chakula.” ’ ”
Job 1:21na kusema: 1 “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, 2 nami nitaondoka uchi, + 1:21 Au: nitarudi huko uchi. 1 Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa, 2 jina la Bwana litukuzwe.”
Job 20:15Atatema mali alizozimeza; 2 Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika. 1
Psalms 39:6Hakika kila binadamu ni kama njozi 2 aendapo huku na huko: 1 hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; 2 anakusanya mali nyingi, 2 wala hajui ni nani atakayeifaidi. 1
Psalms 109:9Watoto wake na waachwe yatima, 2 mke wake na awe mjane. 1
Ecclesiastes 2:26Kwa yule mtu anayempendeza Mungu, Mungu humpa hekima, maarifa na furaha, bali kwa mwenye dhambi Mungu humpa kazi ya kukusanya na kuhifadhi utajiri ili Mungu ampe yule anayempenda. Hili nalo pia ni ubatili, ni kukimbiza upepo.