The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 5 › Mhubiri 5:3

Mhubiri 5:3

Kama vile ndoto huja 2 wakati kuna shughuli nyingi, 1 ndivyo yalivyo mazungumzo ya mpumbavu 2 wakati kuna maneno mengi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For a dream cometh through the multitude of business; and a fool’s voice is known by multitude of words.

In Context

2Usiwe mwepesi kuzungumza, 2 usiwe na haraka katika moyo wako 2 kuzungumza lolote mbele za Mungu. 1 Mungu yuko mbinguni 2 nawe uko duniani, 1 kwa hiyo maneno yako 2 na yawe machache. 1

4Wakati unapomwekea Mungu nadhiri, usikawie kuitimiza. Yeye hafurahii wapumbavu; timiza nadhiri yako.

Read all of Mhubiri 5

Cross References

Leviticus 27:2“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Kama mtu yeyote ataweka nadhiri maalum ili kuweka watu wakfu kwa Bwana, kwa kutoa kiasi cha thamani inayolingana,

Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1

Ecclesiastes 10:12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima 2 yana neema, 2 bali mpumbavu huangamizwa 2 na midomo yake mwenyewe. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 5:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 5:2Mhubiri 5Mhubiri 5:4 →