Proverbs 10:19
Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the multitude of words there wanteth not sin: but he that refraineth his lips is wise.
In Context
18Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya uongo, 2 na yeyote anayeeneza uchonganishi ni mpumbavu. 1
20Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, 2 bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. 1
Cross References
Job 11:2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? 2 Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 1
Proverbs 11:12Mtu asiye na akili humdharau jirani yake, 2 bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake. 1
Proverbs 12:23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, 2 bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. 1
Ecclesiastes 5:1Linda hatua zako uendapo katika nyumba ya Mungu. Karibia usikilize kuliko kutoa dhabihu ya wapumbavu, ambao hawajui kuwa wanafanya kosa. 1
Ecclesiastes 10:13Mwanzoni maneno yake ni upumbavu, 2 mwishoni ni wazimu mbaya, 2
James 3:2Sisi sote tunajikwaa katika mambo mengi. Ikiwa mtu yeyote hakosei kamwe katika yale anayosema, yeye ni mkamilifu, naye anaweza kuuzuia pia na mwili wake wote.